Wimbo wa zamani sana wa Mzee Syote 1945. Inaonekana aliongeza shairi 2001.
Nimepata copy kutoka kwa member wa group ya Fr. Kayeta Facebook.
Download original pdf click hapa ... mwandiko wa Syote mwenyewe.
Tazama nota click hapa
sikiliza midi click hapa
In midi, mp3, kar and pdf formats. Click links to download. (Don't forget to comment). Katika mfumo wa midi, mp3, kar na pdf. Bofya viunganishio kupakua. (Usisahau kutoa maoni)
Saturday, December 31, 2011
Wednesday, December 28, 2011
Mwanakondoo
By Gideon Kitamboya OFM Cap.
Box Kola Morogoro.
Nilitoa midi sikumbuki nota nili-save wapi
Nitampigia kuomba nota
Midi click hapa
Nimejaribu ku upload mp3 (1.39 MB)
Mp3 click hapa
Box Kola Morogoro.
Nilitoa midi sikumbuki nota nili-save wapi
Nitampigia kuomba nota
Midi click hapa
Nimejaribu ku upload mp3 (1.39 MB)
Mp3 click hapa
Saturday, December 24, 2011
Wednesday, December 21, 2011
Monday, December 19, 2011
Rudi kwanza
Rudi kwanza kapatane na ndugu yako. Ndipo uende kutoa Sadaka kwa Bwana.
Mt 5:23-24.
By Nesphory Charles
Nota
Sikiliza
Mt 5:23-24.
By Nesphory Charles
Nota
Sikiliza
Sunday, December 18, 2011
Wednesday, December 7, 2011
MAMA WA MATAIFA YOTE
By Amedeus Kauky OFM Cap
Sijaweza kuweka nota, maneno alikua hajayakamilisha vizuri.
vinginevyo kuwasiliana naye 0715988694 au kwenye facebook click
Kusikiliza Click Hapa.
Baadaye nimepata nota ingawa hazifanani sana na muziki unao sikiliza.
click hapa kusoma nota
Sijaweza kuweka nota, maneno alikua hajayakamilisha vizuri.
vinginevyo kuwasiliana naye 0715988694 au kwenye facebook click
Kusikiliza Click Hapa.
Baadaye nimepata nota ingawa hazifanani sana na muziki unao sikiliza.
click hapa kusoma nota
Monday, December 5, 2011
MAWAZO NINAYO WAWAZIA NINYI
Bwana asema Mawazo ninayo wawazia ninyi
By John Mgandu. (+)
Reflection on Jer 29:11
Comp on 15 Nov 1995
Muziki click
Sikiliza .. click
By John Mgandu. (+)
Reflection on Jer 29:11
Comp on 15 Nov 1995
Muziki click
Sikiliza .. click
Sunday, December 4, 2011
Furahini katika Bwana.
Furahini katika Bwana, nasema tena furahini. By J. D Mkomagu.
Dominika ya 3 ya Majilio.
Soma muziki Click
Sikiliza Click
Dominika ya 3 ya Majilio.
Soma muziki Click
Sikiliza Click
Alfa na Omega
Mimi ni Afa na Omega, mwanzo na mwisho.... imetungwa na Beatus Idama
Composed @ St. Joseph Dar es salaam
Sikupata tarehe
Angalia Nota
Sikiliza Click hapa
Composed @ St. Joseph Dar es salaam
Sikupata tarehe
Angalia Nota
Sikiliza Click hapa
Saturday, December 3, 2011
Enyi watu wa Sayuni
For the second Sunday of Advent. Jumapili ya pili ya Majilio.
Umetungwa na Marcus Mtinga wa Musoma Tanzania 06/12/2001
Kuona Muziki click hapa
Kusikiliza Click hapa
Umetungwa na Marcus Mtinga wa Musoma Tanzania 06/12/2001
Kuona Muziki click hapa
Kusikiliza Click hapa
Friday, December 2, 2011
DENI LA UPENDO
This one was composed by Amedeus Kauky.
Imetungwa na Amedeus Kauky OFM Cap
Tafakari kutoka katika Barua ya Mtume Paulo kwa Warumi 13:8-10
Click hapa kuona Muziki
Click hapa kusikiliza
Asante
Imetungwa na Amedeus Kauky OFM Cap
Tafakari kutoka katika Barua ya Mtume Paulo kwa Warumi 13:8-10
Click hapa kuona Muziki
Click hapa kusikiliza
Asante
Subscribe to:
Posts (Atom)