Monday, August 20, 2012

YEYE AFANYAYE BY PAUL AWET.


Si kila mtu aniambiaye Bwana Bwana....
Bali ni Yule ayafanyaye mapenzi ya Baba yangu

Sikiliza midi.

Tazama nota.

Paul anasema ni special kwa kwaya ya Rhotia Parish.

Tuesday, February 7, 2012

YESU WANGU NAKUPENDA

Yesu wangu nakupenda, chakula cha yangu Roho.
Kila siku nakuita, unipe uzima wako.
=Communion
By J. Makoye

Nota Click

Midi Click