Tuesday, January 28, 2014

KAENI CHINI SIKILIZENI BY Nestory E. Kisima.
Kaeni chini sikilizeni, Bwana na Bibi Harusi kwani Mungu aliyewaumba, leo anasema nanyi.

Wimbo wa Ndoa.

Click hapa kusikiliza midi.

Nota www.swahilimusicnotes.com. Click hapa kudownload pdf

Saturday, January 25, 2014

ASANTE KWA PENDO LAKO. BY FLORIAN SINGLE

Bwana amenitendea mambo makuu,
Nilipoita jina lake aliniitikia
Alinitegemeza katika taabu zangu.


Sikiliza Midi click hapa

Nota zinapatikana swahilimusicnotes.com click hapa

Friday, January 24, 2014

Heri Kila mtu Amchaye Bwana. By Rwebangira P.G wa Kigango cha Kainam Parokia ya Rhotia Jimbo la Mbulu.

Sikiliza midi click hapa

Muziki ni Pdf kwenye swahilimusicnotes.com click kupata pdf