Friday, September 12, 2014

MSIYASAHAU.

Msiyasahau Matendo ya Mungu

By Beatus Idama

Wimbo wa Katikati Jumapili ya kutukuka kwa Msalaba.
Haya. Mwenyewe anasema ni kwa utulivu "tranquillo"

Midi Click hapa

Nota. pdf click hapa

Midi Karaoke Click hapa Maelekezo player ya karaoke click hapa

Thursday, September 11, 2014

MASKANI ZAKO BWANA

By G. C Mkude
Arusha

Midi click hapa

Nota pdf toka Swahili music notes click hapaKwa kutumia karaoke maelezo click hapa 
Maneno yanavyo kwenda kwa kila sauti download file (.kar) na ufungue kwa Karaoke player.
Kwa sauti ya kwanza click hapa
Kwa sauti ya pili click hapa 
Kwa sauti ya tatu click hapa
Kwa sauti ya nne click hapa

Unapotumia VanBasco Karaoke Player unaweza ku-focus kwenye sauti unayotaka kusikiliza
kwa ku-click output

Kisha chagua sauti unayotaka ku-solo (ilie peke yake) kwenye vitufe vya blue.

Kwa wimbo huu sauti ya kwanza ipo sehemu ya pili toka juu,  ya pili sehemu ya tatu toka juu, Ya tatu shehemu ya nne toka  nk.

Sunday, September 7, 2014

UJE ROHO MUUMBAJI

By Dr Mbilinyi

Sikiliza midi click hapa

Nota  Pdf click

Midi Karaoke click hapa lakini
tazama kwanza maelekezo ya karaoke chini.
KAR
Mwalimu wa Kwaya?
Nota zinasumbua?
Sasa unaweza ku-download Karaoke Player iliyotengenezwa na Van Basco. (VanBasco's Karaoke Player) ni ya bure kabisa. Itakuwezesha kufuatilia kwa urahisi sauti moja moja na kuoanisha na maneno kwa urahisi kwa kufundisha. Sasa kwa nyimbo zile ambazo nitatoa file lenye extension ya (.kar) unaweza kudownload file hilo na kulifungua kwa kutumia player hiyo. Ni file dogo sana.
Kwa windows downloadhapa, click hapa, usikubali matangazo na mambo mengine 
Ni program ndogo. 
Inavyoonekana kwa kifupi

Tazama vitufe chini, kila kitufe kinafungua window fulani na kitufe hicho hicho kinaifunga.
  • Kilicho andikwa control nyuma yake kitakuwezesha kubadili , mwendo (tempo) funguo (key) na ukubwa wa sauti (volume)
  • Kilicho andikwa Karaoke nyuma yake kitakuwezesha kufuatilia maneno yaliyo kwenye muziki
  • Kilicho andikwa output nyuma yake kitakuwezesha kuchagua sauti ya kusikiliza. Vya rangi nyekundu vinanyamazisha sauti fulani (mute) na vya blue vina chagua sauti fulani isikike peke yake. (solo)
  • Kilichoa andikwa piano nyuma yake kitakuonyesha mmm uchezaji.
Kumbe utaweza kubadili mwendo funguo nk na kukurahishia ufundishaji.

RUDI MWANZO Click hapa

Monday, September 1, 2014

Hubirini kwa Sauti ya Kuimba.

By G. C. Mkude

Midi click

Nota toka swahilimusicnotes.com au Click hapa