Tuesday, April 26, 2016

TUMAINI LETU MAMA

Tumaini letu Mama, (yetu) Mama Maria, Tumaini letu Mama (yetu), ee Mama mwema ndiwe tumaini letu ewe Mama yetu Maria x 2

Na
JOHN MGANDU (1992)

Download pdf toka swahilimusicnotes.com

Download Mp3

(Yetu) ni kwa sauti ya pili na ya tatu
Download Mp3 sauti ya  1
Download Mp3 sauti ya  2
Download Mp3 sauti ya  3
Download Mp3 sauti ya  4

Tuesday, April 12, 2016

MSIJISUMBUE

Msijisumbue kwa neno lolote bali katika kila neno kwa sala na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu na zijulikane na Mungu 

Na
ARTHUR. AWET

Download Music pdf toka swahilimusicnotes.com

Download Mp3

Kiitikio (X2)
Sauti ya 1 Mp3
Sauti ya 2 Mp3
Sauti ya 3 Mp3
Sauti ya 4 Mp3

Monday, April 11, 2016

RABBI YESU NI MZIMA

Na
FR. NYAMITI

Rabbi Yesu ni mzima, leo na mapema akafufuka
Rabi Yesu ni mzima aleluya ...Sauti ya kwanza na ya tatu zinatangulia
Download

Saturday, April 9, 2016

JUU YA MLIMA WA SAYUNI

Wimbo wa Communion
na
FR. AMEDEUS KAUKI

Nimepata karatasi mahali imechoka maneno hayasomeki vizuri sana, nawasiliana na Fr. Amedeus anitumie copy nzuri

Natanguliza

Mp3 download

Kiitikizano
Sauti ya 1 Mp3
Sauti ya 2 Mp3
Sauti ya 3 Mp3
Sauti ya 4 Mp3

Thursday, March 24, 2016

KABILA LANGU
Kabila langu nimekutenda nini.
Au nimekusikitisha nini
Nijibu Nijibu

By Fr. G. F. Kayetta

Download Music pdf toka Swahilimusic notes

Download Mp3