Wednesday, March 15, 2017

Moyo wangu umekuambia

Moyo wangu umekuambia, by David B. Wasonga
Ukonga Dsm 2011

Download pdf toka Swahilimusicnotes

Download Mp3

Kwa sauti mbalimbali tumia Midi clef, download kwenye Android smartphone kama maelekezo click
tumia ".kar" files kwenye midi clef.
kisha download
Kar file kwa sauti ya kwanza
Kar file kwa sauti ya Pili
Kar file kwa sauti ya Tatu
Kar file kwa sauti ya Nne

Monday, March 13, 2017

Tafakari Rohoni

Na H. B. Bwagidi
June 2001 Dsm
Joel 2:12-18

Pdf download swahilimusicnotes

Nadhani unatakiwa bila ngoma

Download bila ngoma click

Hata hivyo nimejaribu na ngoma

Download na Ngoma click

Download Kar file click hapa. Utaweza kwa utumia smartphone yako kuasikiliza sehemu sehemu kwa kutumia program ya Midi clef  niliyopendekeza hapo nyuma click

Bwana Utuhurumie

Misa anayoendelea kutunga Fr. Amedeus Kauki OFMCap
Misa ya Mt. Andrea kwa heshima ya Fr. Fr. Andrew Lupodya
Anaendelea na sehemu zilizo baki.

Pdf ataleta baadae

Download Mp3 hapa

Download sauti mbalimbali hapa

Friday, March 10, 2017

Midi Clef Karaoke player

Amazing android application.
I uploaded midi karaoke files in my previous posts, (files with ".kar" extension). These are midi files with lyrics. Unfortunately, I could not recommend a good application for playing them. Finally, I have come across this one; MIDI CLEF KARAOKE PLAYER. by Gicci Mobile. It is in the Android google play store https://play.google.com/store/apps/details?id=it.giccisw.midi&hl=en. for those who have android devices, I'm not sure whether there is an IOS version. After installing the app, go ahead and download these tiny kar files; bit.ly/moyow1, bit.ly/moyow2, bit.ly/moyow3, bit.ly/moyow4. They are kar files of a song MOYO WANGU UMEKUAMBIA by David B. Wasonga, with lyrics focused on parts 1-4 respectively. Just mess around with app settings to see available possibilities. You will discover that you can solo parts, mute parts, change pitch, assign different instruments in different channels/parts, change tempo and so on. Enjoy.

Nimependa software ya Android inaitwa Midi Clef Karaoke Player ya Gicci Mobile. Ipo android playstore https://play.google.com/store/apps/details… Ukisha install kwenye smartphone yako, download kar files, nimejaribu wimbo wa David Wasonga "Moyo wangu umekuambia" kwa kulenga maneno ya sauti ya kwanza download file www.bit.ly/moyow1 kwa sauti ya pili www.bit.ly/moyow2 kwa ya tatu bit.ly/moyow3 kwa ya nne bit.ly/moyow4. Cheza na Program, utagundua unaweza kuongeza tempo (speed), kupunguza, Kubadili instruments kwa kila sauti, ku-transpose kupandisha na kushusha pitch (funguo), ku -solo (kusikiliza sauti moja, ku-mute kuzima sauti moja na kadhalika. Pia niliwahi kupost kar files.

The icon looks like this. Icon yake inaonekana namna hii
Touch this to change tempo, pitc etc. Gusa hapa kubadili mwendo na kupandisha au kushusha sauti nk.
Touch arrows to change pitch. Gusa mishale kupandisha au kushusha sauti
Move the slider to change speed. Tembeza kitufe kubadili mwendo
Slide along the screen to choose the part you want to change. Tembezesha kidole kwenye skrini kuchagua sauti ya kushughulikia
After releasing you can solo, mute, change volume, change instrument etc. Baada ya kuchia unaweza kuifanya isikike peke yake kuinyamazisha, kuongeza/punguza sauti, kuchagua chombo nk