By Amedus Kauki
Download pdf toka swahilimusicnotes
Sikiliza
Sauti ya 1
Sauti ya 2
Sauti ya 3
Sauti ya 4
Sauti zote na shairi 1
Sikiliza kwa headphones usikie maneno
In midi, mp3, kar and pdf formats. Click links to download. (Don't forget to comment). Katika mfumo wa midi, mp3, kar na pdf. Bofya viunganishio kupakua. (Usisahau kutoa maoni)
Friday, May 18, 2018
Friday, May 11, 2018
Ewe Roho Mtakatifu
By F. Kashumba
Ewe Roho Mtakatifu, Zawadi ya upendo wa Kimungu
Tunaomba tushukie utujaze mapaji ya Ki Mungu
Download pdf
Sikiliza
Sautiya 1
Sauti ya 2
Sauti 3
Sauti 4
Sauti zote pamoja na Sahiri 1
Sikiliza kwa headphones usikie maneno
Ewe Roho Mtakatifu, Zawadi ya upendo wa Kimungu
Tunaomba tushukie utujaze mapaji ya Ki Mungu
Download pdf
Sikiliza
Sautiya 1
Sauti ya 2
Sauti 3
Sauti 4
Sauti zote pamoja na Sahiri 1
Sikiliza kwa headphones usikie maneno
Wednesday, May 9, 2018
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe
By S. Mkude
Kiit
Mngu amepaa (amepaa) kwa kele za shangwe, Bwana amepaa kwa sauti ya baragumu
Mashairi
Kiit
Mngu amepaa (amepaa) kwa kele za shangwe, Bwana amepaa kwa sauti ya baragumu
Mashairi
- Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele za shangwe, kwa kuwa Bwana aliye juu ni mwenye kuogofya, ndiye Mfalme mkuu juu ya Dunia yote.
- Mungu amepaa kwa kelel za shangwe, Bwana kwa sauti ya Baragumu, mwimbieni Mungu naam imbeni mweimbieni mfalme wenu naam imbeni
- Maana Mungu ndiye Mfalme wa dunia yote imbeni kwa akili Mungu wamiliki mataifa Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu
Download pdf toka swahilimusicnotes
Muziki kwenye audiomack
Sauti zote na shairi moja
Sikiliza kwa headphones usikie maneno
Thursday, May 3, 2018
Uje Roho Muumbaji
By Dr. Mbilinyi (1990 DSM)
- Uje Roho Muumbaji / utazame Roho zetu / jaza neema za mbinguni / ndani ya viumbe vyako.
- Unaitwa mfariji / paji la Mwenyezi Mungu / Chanzo cha uzima, moto / pendo, mpako wa Rohoni.
- Mtoa wa vipaji saba / na kidole chake Mungu / Mwahidiwa naye Baba / na msemesha ndimi zetu.
- Tia nuru akilini / na upendo mioyoni / Tegemeza miili yetu / kwa imara yakudumu.
- Ufukuze mashetani / na amani tupe hima / Hivyo uwe kiongozi / tuepuke ovu lote.
- Umjulishe kwetu Baba / tukamjue pia Mwana / Tukakusadiki wewe / Roho na tokaye kwao.
- Atukuzwe Mungu Baba / na Mwanawe Mufufuka / Pia Roho Mtakatifu / kwa milele na milele/
Amina.
Tumia headphones usikie sauti
Wednesday, April 25, 2018
Kwako Bwana zinatoka Sifa
J.D Mkomagu
Kwako Bwana zinatoka, sifa zangu Ee Bwana.
Katika kusanyiko kubwa
Aleluya aleluya
Wa katikati Dom ya 5 ya Pasaka
Pdf toka Sahilimusicnotes.com Isipokuwa masahihisho kidogo. Bar ya tatu "C" ya mwisho "inafutwa" kama hivi

Sauti ya kwanza
Sauti ya Pili
Sauti ya tatu
Sauti ya nne
Sauti zote pamoja na shairi moja
Sikiliza kwa headphones usikie vizuri maneno
Kwako Bwana zinatoka, sifa zangu Ee Bwana.
Katika kusanyiko kubwa
Aleluya aleluya
Wa katikati Dom ya 5 ya Pasaka
Pdf toka Sahilimusicnotes.com Isipokuwa masahihisho kidogo. Bar ya tatu "C" ya mwisho "inafutwa" kama hivi
Sauti ya kwanza
Sauti ya Pili
Sauti ya tatu
Sauti ya nne
Sauti zote pamoja na shairi moja
Sikiliza kwa headphones usikie vizuri maneno
Wednesday, April 18, 2018
Uzipokee / Uipokee Sadaka
By Melchior B. Syote
Sauti za kupishana.
Download Pdf kutoka swahilimusicnotes.com
Sauti ya kwanza
Sauti ya Pili
Sauti ya Tatu
Sauti ya Nne
Sauti zote
Tumia headphones uweze kufuatilia maneno
By Melchior B. Syote
Sauti za kupishana.
Download Pdf kutoka swahilimusicnotes.com
Sauti ya kwanza
Sauti ya Pili
Sauti ya Tatu
Sauti ya Nne
Sauti zote
Tumia headphones uweze kufuatilia maneno
Subscribe to:
Posts (Atom)