Wednesday, December 28, 2011

Mwanakondoo

By Gideon Kitamboya OFM Cap.
Box Kola Morogoro.
Nilitoa midi sikumbuki nota nili-save wapi
Nitampigia kuomba nota

Midi click hapa

Nimejaribu ku upload  mp3 (1.39 MB)

Mp3 click hapa

Monday, December 19, 2011

Rudi kwanza

Rudi kwanza kapatane na ndugu yako. Ndipo uende kutoa Sadaka kwa Bwana.
Mt 5:23-24.

By Nesphory Charles

Nota

Sikiliza

Wednesday, December 7, 2011

MAMA WA MATAIFA YOTE

By Amedeus Kauky OFM Cap
Sijaweza kuweka nota, maneno alikua hajayakamilisha vizuri.
vinginevyo kuwasiliana naye 0715988694 au kwenye facebook click

Kusikiliza Click Hapa.

Baadaye nimepata nota ingawa hazifanani sana na muziki unao sikiliza.

click hapa kusoma nota

Monday, December 5, 2011

MAWAZO NINAYO WAWAZIA NINYI

Bwana asema Mawazo ninayo wawazia ninyi
By John Mgandu. (+)
Reflection on Jer 29:11
Comp on 15 Nov 1995

Muziki click

Sikiliza .. click

Sunday, December 4, 2011

Furahini katika Bwana.

Furahini katika Bwana, nasema tena furahini. By J. D Mkomagu.
Dominika ya 3 ya Majilio.

Soma muziki Click

Sikiliza Click

Alfa na Omega

Mimi ni Afa na Omega, mwanzo na mwisho....   imetungwa na  Beatus Idama
Composed @ St. Joseph Dar es salaam
Sikupata tarehe

Angalia Nota

Sikiliza Click hapa

Friday, December 2, 2011

DENI LA UPENDO

This one was composed by Amedeus Kauky.
Imetungwa na Amedeus Kauky OFM Cap
Tafakari kutoka katika Barua ya Mtume Paulo kwa Warumi 13:8-10
Click hapa kuona Muziki
Click hapa kusikiliza
Asante