Wednesday, April 25, 2018

Kwako Bwana zinatoka Sifa

J.D Mkomagu
Kwako Bwana zinatoka, sifa zangu Ee Bwana.
Katika kusanyiko kubwa
Aleluya aleluya

Wa katikati Dom ya 5 ya Pasaka

Pdf toka Sahilimusicnotes.com Isipokuwa masahihisho kidogo. Bar ya tatu "C" ya mwisho "inafutwa" kama hivi

Sauti ya kwanza
Sauti ya Pili
Sauti ya tatu
Sauti ya nne
Sauti zote pamoja na shairi moja
Sikiliza kwa headphones usikie vizuri maneno

2 comments: