Wednesday, May 9, 2018

Mungu amepaa kwa kelele za shangwe

By S. Mkude

Kiit
Mngu amepaa (amepaa) kwa kele za shangwe, Bwana amepaa kwa sauti ya baragumu
Mashairi

  1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele za shangwe, kwa kuwa Bwana aliye juu ni mwenye kuogofya, ndiye Mfalme mkuu juu ya Dunia yote.
  2. Mungu amepaa kwa kelel za shangwe, Bwana kwa sauti ya Baragumu, mwimbieni Mungu naam imbeni mweimbieni mfalme wenu naam imbeni
  3. Maana Mungu ndiye Mfalme wa dunia yote imbeni kwa akili Mungu wamiliki mataifa Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu
Muziki kwenye audiomack
Sauti zote na shairi moja
Sikiliza kwa headphones usikie maneno

No comments:

Post a Comment